Search This Blog

Saturday, March 19, 2016

DROO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE YAFANYIKA LEO! BARCELONA VS ATLETICO MADRID, WOLFSBURG VS REAL MADRID, PSG VS MAN CITY...

CHAMPIONS LEAGUE QUARTERFINALS:
WOLFSBURG VS REAL MADRID
BAYERN MUNICH VS BENFICA
BARCELONA VS ATLETICO MADRID
PSG VS MAN CITY
EUROPA LEAGUE QUARTERFINALS:
BRAGA VS SHAKHTAR
VILLARREAL VS SPARTA PRAGUE
ATHLETIC BILBAO VS SEVILLA
BORUSSIA DORTMUND VS LIVERPOOL

DIAMOND AMKUMBUSHA RAIS MAGUFULI

Msanii mahiri nchini anaeipeperusha vyema
bendera ya Tanzania nje ya nchi Nassib Abdul
maarufu kama Diamond Plutnumz, amemkumbusha
Rais Magufuli kuhusu ahadi yake ya kushughulikia
kujenga ukumbi wenye hadhi ya kimataifa ambao
utaweza kuruhusu kufanyika shughuli mbalimbali za
kimuziki.
Akizungumza na kipindi cha XXL kinachorushwa na
Clouds FM Diamond Plutnumz amesema aliwahi
kupiga story na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Magufuli na kumuomba kupitia
serikali yake aweze kuwajengea ukumbi mkubwa
wasanii utakao wasaidia kupanua wigo wa muziki
nchini kwa shughuli za kimataifa kama tuzo kubwa
kufanyikia nchini.
Diamond amezidi kueleza kuwa amewahi
kuambiwa na baadhi ya waandaaji wa tuzo kuwa
wanampango wa kuja kufanyia tuzo nchini
Tanzania lakini tatizo hakuna ukumbi mkubwa wa
kumudu tukio hilo la aina yake, hivyo Diamond
amemuomba Rais Magufuli asiwasahau atimize
ahadi yake, ili tasnia ya muziki izidi kusonga mbele.

Friday, March 18, 2016

KLABU BINGWA ULAYA DROO KUFANYIKA LEO IJUMAA


Klabu 8 toka Nchi 5 Leo Ijumaa zitatumbukizwa
kwenye Chungu kimoja kwenye Droo ya kupanga
Mechi za Robo Fainali ya UCL, UEFA CHAMPIONS
LIGI, kwenye shughuli itakayofanyika huko Nyon,
Uswisi.
Droo hii iko wazi ikimaanisha Timu za Nchi moja
zinaweza kukutanishwa na hivyo upo uwezekano
wa, mathalani, Real Madrid na Barcelona kukutana.
Klabu zilizofuzu kuingia Robo Fainali:
-Atlético Madrid
-Bayern München
-Barcelona
-Benfica
-Manchester City
-Paris Saint-Germain
-Real Madrid
-Wolfsburg

FULL TIME: EUROPA LEAGUE, MANCHESTER UNITED 1 v 1 LIVERPOOL (Agg 1-3) SARE YAWATUPA NJE UNITED, MAJOGOO YASONGA MBELE!

Sunday, March 13, 2016

KIKOSI KAMILI CHA YANGA KINACHOANZA DHIDI YA APR LEO


1. Ally Mustapha
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Calvin Yondani
5. Vincent Bossou (C)
6. Pato Ngonyani
7. Deus Kaseke
8. Thaban Kamusoko
9. Amis Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Haruna Niyonzima
Wachezaji wa Akiba
1. Deo Munishi
2. Oscar Joshua
3. Mbuyu Twitte
4. Issouf Boubacary
5. Salum Telela
6. Matheo Anthony
7. Saimoni Msuv

Saturday, March 12, 2016

EUROPA LEAGUE MANCHESTER UNITED YAAMBULIA KIPIGO

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa
League ilianza usiku wa jana kwa timu zote
16 kujitupa viwanjani kusaka ushindi wake wa
kwanza katika mechi mbili za hatua hii.
Manchester United wakisafiri ugenini kuwavaa
Liverpool katika dimba la Anfield na wenyeji
Liverpool waliibuka na ushindi wa bao 2-0
katika mchezo ambao uliotawaliwa na Liverpool
huku United wakipoteana hasa Kipindi cha
kwanza hali iliyopelekea wasiweze kupata
hata shuti moja lililolenga lango kwa kipindi
hicho cha kwanza.
Liverpool walipata magoli yao kupitia kwa
Daniel Sturadge kwa njia ya penati na Roberto
Firminho aliyetumia uzembe wa Michael Carrick
ambaye aliingia kucheza beki wa kati
akichukua nafasi ya Rashford.

Friday, March 11, 2016

VITA YA LEO KATIKA 16 BORA EUROPA LIGI


Liverpool Vs Man United

Muda : Saa 23:05 Usiku

Uwanja : Anfield

Mwamuzi : Carlos Carballo

Thursday, March 10, 2016

TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA ROBO FAINALI CHAMPIONS LEAGUE

Wolfsburg, Real Madrid, Benfica na Psg zimefuzu hatua ya Robo Fainali UCL Msimu huu

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIWA KATIKA MAZOEZI

Wachezaji Wa Manchester United Wakiwa katika Mazoezi katika Uwanja wa Mazoezi Carrington Complex jijini Manchester wakijiandaa Na Mchezo Wao Dhidi Ya Liverpool Wa Michuano Ya Uefa Europa League Siku Ya Alhamisi

Wednesday, March 9, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 2 v 0 AS ROMA (Agg:4-0) RONALDO NA JAMES WAIBABUA ROMA NA KUITUPILIA MBALI!

James Rodriguez dakika ya 68 alifanukisha bao la
pili baada ya kupata mpira kutoka kwa Ronaldo na
kumfunga dobo kipa wa zamani wa Arsenal sasa
Roma Szczesny.
Cristiano Ronaldo dakika ya 64 aliifungia Real
Madrid bao
VIKOSI:
Real Madrid wanaoanza XI: Navas, Danilo, Ramos,
Pepe, Marcelo; Casemiro, Modric, Kroos; James,
Bale, Ronaldo
Akiba: Casilla, Varane, Carvajal, Kovacic, Lucas
Vazquez, Jese, Isco
Roma wanaoanza XI: Szczesny; Florenzi, Manolas,
Zukanovic, Digne; Pjanic, Keita; Salah, Perotti, El
Shaarawy; Dzeko
Akiba: De Sanctis, Maicon, Torosidis, Castan,
Vainqueur, Iago Falque, Totti

WACHEZAJI WA CHELSEA WAJIFUA KUJIWEKA SAWA NA MCHEZO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE JUMATANO NA PSG

MESSI, SUAREZ NA NEYMAR WANATISHA...! WANAMABAO 100

MSN.

TETESI: TONI KROOS ANUKIA OLD TRAFORD!

Umri wa Mchezaji wa Man United Michael Carrick
umesogea sana hivyo Man United wanataka
kumchukuwa Mchezaji huyo Toni Kroos ili achukuwe
mikoba yake.

Sunday, March 6, 2016

Msimamo Wa Ligi Kuu Uingereza

Epl

history, we recall first of 20 consecutive home wins for City

Looking back at Barclays Premier League history, we recall first of 20 consecutive home wins for City5 March 2011 - Manchester City 1-0 Wigan Athletic

David Silva scored the only goal as Manchester City won for the first time in three Barclays Premier League matches to drop Wigan Athletic to the bottom of the table.

Silva took a shot from the edge of the penalty area that Latics goalkeeper Ali Al Habsi failed to hold on to and it trickled through his legs and into the net.

HII NDIO TOP YA WAFUNGAJI LIGI KUU YA UINGEREZA MSIMU HUU






1 Jamie Vardy LEI 19
2 Romelu Lukaku EVE 17
3 Harry Kane TOT 16
4 Sergio Agüero MCI 14
4 Odion Ighalo WAT 14
4 Riyad Mahrez LEI 14
7 Olivier Giroud ARS 12
8 Diego Costa CHE 11
9 Jermain Defoe SUN 10
10 Marko Arnautovic STK 9
10 Georginio Wijnaldum NEW 9
12 André Ayew SWA 8
12 Ross Barkley EVE 8
12 Troy Deeney WAT 8
15 Dele Alli TOT 7
15 Roberto Firmino LIV 7
15 Shane Long SOU 7
15 Anthony Martial MUN 7
15 Dimitri Payet WHU 7
15 Wayne Rooney MUN 7
15 Gylfi Sigurdsson

RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA EPL WIKI HII

Sat 05 Mar 2016
Spurs 2 - 2 Arsenal FT
Chelsea 1 - 1 Stoke FT
Everton 2 - 3 West Ham FT
Man City 4 - 0 Aston Villa FT
Newcastle 1 - 3 Bournemouth FT
Southampton 1 - 1 Sunderland FT
Swansea 1 - 0 Norwich FT
Watford 0 - 1 Leicester FT
Sun 06 Mar 2016
Crystal Palace v Liverpool 13:30
West Brom v Man Utd 16:00


Saturday, March 5, 2016

Weekend fixtures across Europe Premier league

Weekend fixtures across Europe
Premier league

SATURDAY
Tottenham Hotspur vs. Arsenal
Chelsea vs. Stoke City
Everton vs. West Ham United
Manchester City vs. Aston Villa
Newcastle vs. AFC Bournemouth
Southampton vs. Sunderland
Swansea City vs. Norwich City
Watford vs. Leicester City

SUNDAY
Crystal Palace vs. Liverpool
West Bromwich Albion vs. Manchester United

La liga
SATURDAY
Real Madrid vs. Celta Vigo
Villareal vs. Las Palmas
Getafe vs. Sevilla
Deportivo La Coruna vs. Malaga

SUNDAY
Real Betis vs. Granada
Eibar vs. Barcelona
Real Sociedad vs. Levante
Sporting Gijon vs. Athletic Bilbao
Valencia vs. Atletico Madrid

Bundesliga
SATURDAY
Eintracht Frankfurt vs. Ingolstadt 04
Augsburg vs. Bayer Leverkusen
FC Cologne vs. Schalke 04
Stuttgart vs. Hoffenheim
Wolfsburg vs. Borussia Monchengladbach
Werder Bremen vs. Hanover 96
Borussia Dortmund vs. Bayern Munich

SUNDAY
Mainz vs. Darmstadt
Hamburg vs. Hertha Berlin

Serie A
FRIDAY
AS Roma vs. Fiorentina
SATURDAY
Hellas Verona vs. Sampdoria
Napoli vs. Chievo Verona

SUNDAY
Torino vs. Lazio
Atalanta vs. Juventus
Bologna vs. Carpi
Frosinone vs. Udinese
Genoa vs. Empoli
Sassuolo vs. AC Milan
Inter Milan vs. Palermo

Ligue1
FRIDAY
Caen vs. AS Monaco

SATURDAY
Paris Saint-Germain vs. Montpellier
Angers vs. St Etienne
Bastia vs. Lorient
Bordeaux vs. Ajaccio
Lille vs. Stade de Reims
Nice vs. Troyes

SUNDAY
Marseille vs. Toulouse
Stade Rennes vs. Nantes
Lyon vs. Guingamp

KUWA KARIBU NA VITU UNAVYO VIPENDA

hii ni moja ya ndoto ya diehard fun ambao hipenda mchezo wa mpira wa miguu hii utokea hasa kwa nchi za Ulaya watu kupenda vitu na kuviweka karibu nao

PICHA YA KUWAKEJELI FUNS WA ARSENAL DHIDI YA TIMU YA MANCHESTER UNITED


hii ni moja ya picha ambazo zilipendwa na mashabiki wa Manchester United ambapo ikiwakejeri mashabiki wa Arsenal kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kwenye Page ya we_are_comedian