Search This Blog

Saturday, March 19, 2016

DROO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE YAFANYIKA LEO! BARCELONA VS ATLETICO MADRID, WOLFSBURG VS REAL MADRID, PSG VS MAN CITY...

CHAMPIONS LEAGUE QUARTERFINALS:
WOLFSBURG VS REAL MADRID
BAYERN MUNICH VS BENFICA
BARCELONA VS ATLETICO MADRID
PSG VS MAN CITY
EUROPA LEAGUE QUARTERFINALS:
BRAGA VS SHAKHTAR
VILLARREAL VS SPARTA PRAGUE
ATHLETIC BILBAO VS SEVILLA
BORUSSIA DORTMUND VS LIVERPOOL

DIAMOND AMKUMBUSHA RAIS MAGUFULI

Msanii mahiri nchini anaeipeperusha vyema
bendera ya Tanzania nje ya nchi Nassib Abdul
maarufu kama Diamond Plutnumz, amemkumbusha
Rais Magufuli kuhusu ahadi yake ya kushughulikia
kujenga ukumbi wenye hadhi ya kimataifa ambao
utaweza kuruhusu kufanyika shughuli mbalimbali za
kimuziki.
Akizungumza na kipindi cha XXL kinachorushwa na
Clouds FM Diamond Plutnumz amesema aliwahi
kupiga story na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Magufuli na kumuomba kupitia
serikali yake aweze kuwajengea ukumbi mkubwa
wasanii utakao wasaidia kupanua wigo wa muziki
nchini kwa shughuli za kimataifa kama tuzo kubwa
kufanyikia nchini.
Diamond amezidi kueleza kuwa amewahi
kuambiwa na baadhi ya waandaaji wa tuzo kuwa
wanampango wa kuja kufanyia tuzo nchini
Tanzania lakini tatizo hakuna ukumbi mkubwa wa
kumudu tukio hilo la aina yake, hivyo Diamond
amemuomba Rais Magufuli asiwasahau atimize
ahadi yake, ili tasnia ya muziki izidi kusonga mbele.

Friday, March 18, 2016

KLABU BINGWA ULAYA DROO KUFANYIKA LEO IJUMAA


Klabu 8 toka Nchi 5 Leo Ijumaa zitatumbukizwa
kwenye Chungu kimoja kwenye Droo ya kupanga
Mechi za Robo Fainali ya UCL, UEFA CHAMPIONS
LIGI, kwenye shughuli itakayofanyika huko Nyon,
Uswisi.
Droo hii iko wazi ikimaanisha Timu za Nchi moja
zinaweza kukutanishwa na hivyo upo uwezekano
wa, mathalani, Real Madrid na Barcelona kukutana.
Klabu zilizofuzu kuingia Robo Fainali:
-Atlético Madrid
-Bayern München
-Barcelona
-Benfica
-Manchester City
-Paris Saint-Germain
-Real Madrid
-Wolfsburg

FULL TIME: EUROPA LEAGUE, MANCHESTER UNITED 1 v 1 LIVERPOOL (Agg 1-3) SARE YAWATUPA NJE UNITED, MAJOGOO YASONGA MBELE!

Sunday, March 13, 2016

KIKOSI KAMILI CHA YANGA KINACHOANZA DHIDI YA APR LEO


1. Ally Mustapha
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Calvin Yondani
5. Vincent Bossou (C)
6. Pato Ngonyani
7. Deus Kaseke
8. Thaban Kamusoko
9. Amis Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Haruna Niyonzima
Wachezaji wa Akiba
1. Deo Munishi
2. Oscar Joshua
3. Mbuyu Twitte
4. Issouf Boubacary
5. Salum Telela
6. Matheo Anthony
7. Saimoni Msuv

Saturday, March 12, 2016

EUROPA LEAGUE MANCHESTER UNITED YAAMBULIA KIPIGO

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa
League ilianza usiku wa jana kwa timu zote
16 kujitupa viwanjani kusaka ushindi wake wa
kwanza katika mechi mbili za hatua hii.
Manchester United wakisafiri ugenini kuwavaa
Liverpool katika dimba la Anfield na wenyeji
Liverpool waliibuka na ushindi wa bao 2-0
katika mchezo ambao uliotawaliwa na Liverpool
huku United wakipoteana hasa Kipindi cha
kwanza hali iliyopelekea wasiweze kupata
hata shuti moja lililolenga lango kwa kipindi
hicho cha kwanza.
Liverpool walipata magoli yao kupitia kwa
Daniel Sturadge kwa njia ya penati na Roberto
Firminho aliyetumia uzembe wa Michael Carrick
ambaye aliingia kucheza beki wa kati
akichukua nafasi ya Rashford.

Friday, March 11, 2016

VITA YA LEO KATIKA 16 BORA EUROPA LIGI


Liverpool Vs Man United

Muda : Saa 23:05 Usiku

Uwanja : Anfield

Mwamuzi : Carlos Carballo

Thursday, March 10, 2016

TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA ROBO FAINALI CHAMPIONS LEAGUE

Wolfsburg, Real Madrid, Benfica na Psg zimefuzu hatua ya Robo Fainali UCL Msimu huu

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIWA KATIKA MAZOEZI

Wachezaji Wa Manchester United Wakiwa katika Mazoezi katika Uwanja wa Mazoezi Carrington Complex jijini Manchester wakijiandaa Na Mchezo Wao Dhidi Ya Liverpool Wa Michuano Ya Uefa Europa League Siku Ya Alhamisi

Wednesday, March 9, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 2 v 0 AS ROMA (Agg:4-0) RONALDO NA JAMES WAIBABUA ROMA NA KUITUPILIA MBALI!

James Rodriguez dakika ya 68 alifanukisha bao la
pili baada ya kupata mpira kutoka kwa Ronaldo na
kumfunga dobo kipa wa zamani wa Arsenal sasa
Roma Szczesny.
Cristiano Ronaldo dakika ya 64 aliifungia Real
Madrid bao
VIKOSI:
Real Madrid wanaoanza XI: Navas, Danilo, Ramos,
Pepe, Marcelo; Casemiro, Modric, Kroos; James,
Bale, Ronaldo
Akiba: Casilla, Varane, Carvajal, Kovacic, Lucas
Vazquez, Jese, Isco
Roma wanaoanza XI: Szczesny; Florenzi, Manolas,
Zukanovic, Digne; Pjanic, Keita; Salah, Perotti, El
Shaarawy; Dzeko
Akiba: De Sanctis, Maicon, Torosidis, Castan,
Vainqueur, Iago Falque, Totti